Kanye West Afungiwa Instagram, Amuwakia Mmilki Mark Zuckerberg, Elon Musk Amkaribisha Twitter

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtandao wa Instagram umemfungia Kanye West kupost au kufanya lolote lile kwenye ukurasa wake wa mtandao huo. Aidha msemaji wa META amekiri kufanya usimamishaji wa muda wa account ya rapa huyo bila kuweka bayana ni post ipi hasa iliyo pelekea Rapa huyo kufungiwa.


Kanye amerudi rasmi twitter toka afanye hivyo November 2020 na kumshushia lawama mmiliki wa META (Facebook, Instagram pamoja na WhatsApp) Mark Zuckerberg kwa kumuondoa Instagram wakati walizoea kuwa washkaji.


Kwenye tweet hiyo ya Ye, Tajiri Namba moja duniani, Elon Musk amecomment akimkaribisha rafiki yake huyo kwa kurudi tena twitter baada ya kipindi kirefu.


Ye amekuwa kwenye matukio ya kurushiana maneno na watu mbalimbali kwenye mtandao wake wa Instagram baada tu ya kuzindua T Shirt zake za WHITE LIVES MATTER kwenye Yeezy Fashion Show Jumatatu hii ya October 03.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad