Ommy Dimpoz Awatambia Wenzake Kwenye Kisiwa Cha Matajiri Ibiza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Supastaa Ommy Dimpoz amerudi tena na tambo zake, leo ameeleza kuwa ndio mwanamuziki wa kwanza Afrika Mashariki ku-shoot video ya wimbo huko Hispania, kwenye kisiwa maarufu kiitwacho Ibiza.


Dimpoz amebainisha hilo ikiwa leo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao #Vacation akiwa ameifanya kwenye visiwa vya Ibiza. Gusa link kwenye bio Ommy Dimpoz kuitazama video hiyo.


Fahamu, kisiwa cha Ibiza mara nyingi hutembelewa na mastaa wakubwa Duniani kama vile kina Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na wengine wengi.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad