Simba anakufa Jumapili – Mwinyi Zahera

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kocha Mwinyi Zhera amedai kuwa kuelekea kwenye mchezo wa derby ya Kariakoo baina ya Yanga dhidi ya Simba myama atakufa uwanjani siku hiyo licha ya mchezo kuwa mgumu.


Zahera amesema hayo kupitia east africa radio huku akiongeza kuwa Simba itaingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kujiamini hasa kutokana na maendeleo yake mazuri kimataifa.


”Nadhani tutashinda mchezo wa derby, tunao wachezaji wenye uwezo, ila itakuwa mechi ngumu sababu ile ni derby, wenzetu wataweza kujiamini kwa sababu wamefanikiwa Afrika lakini ni derby, atakama mechi itakuwa ngumu lakini tutashinda.”


”Yanga haimtegemei Mayele tu, Feisal anaweza kufunga magoli mengi ya mbali, Aziz Ki anaweza pia kufunga na mechi hii mimi nawaambia tunashinda.’

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad