Staa wa Muziki Nchini Rayvanny Assign Deal Nono Ziiki Media

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa muziki nchini, msanii @rayvanny akiwa nchini Afrika Kusini amesainishwa mkataba mnono na kampuni maarufu ya usambazaji wa muziki iitwayo @ziikimedia. Kwa mujibu wa Rayvanny ameutaja mkataba huo kuwa umemfanya awe Bilionea mpya.


Ziiki Media ambayo makao yake makuu ni Afrika Kusini inafanya kazi na wasanii zaidi ya 50 kutoka Tanzania, Kenya na Nigeria.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad