Wema Sepetu Amzima Shabiki Aliyemuita 'Chawote' Baada Ya Kuanika Mpenzi Mpya: "Mlikuwa Mnataka Nisipendwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wema Sepetu alainika picha inayoonyesha akifurahia maisha na mpenzi wake mpya kwenye mitandao ya kijamii
Shabiki mmoja aliingia kwenye sehemu ya maoni na kumtaja kama 'chawote', kumaanisha ni kiruka njia
Hata hivyo, Wema alimtaka shabiki huyo amtaje mpenzi wake wa awali na kulalamika kuwa watu wamezoea kumuingilia
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu ameingia kwenye penzi tena na haoni haya kuyaonyesha kwenye mitandao ya kijamii.

Wema Sepetu Amzima Shabiki Aliyemuita 'Chawote' Baada Ya Kuanika Mpenzi Mpya.
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake mpya (kushoto), upande wa kulia Wema akiwa na Diamond siku za nyuma. Picha: Wema Sepetu.
Kisura huyo ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, alianika picha yake akijivinjari na mahabubu wake mpya kwenye Instagram.

Kama ilivyotarajiwa, picha ilizua mjadala kubwa; zote chanya na hasi.

Lakini mojawapo ya maoni ambayo yalimvutia Wema ni ya shabiki mmoja aliyemtaja kwa jina la “chawote” (neno la Kiswahili lenye maana ya wote).


Raila Awanunulia Wahudumu wa Boda Boda Mathare Mafuta ya 20k
Shabiki huyo alisema;

"Huyo ndo @wemasepetu Chawote."

Wema hakuchuchelewa kwani alimtaka shabiki huyo kumuanika pia mpenzi wake waliyetengana.

Alimuuliza shabiki huyo iwapo hakutaka apende mtu mwingine au apendwe.

"Hapo kati nilikuwa Cha nani? Kunionea tu muda wote... Mlikuwa mnataka nisipende tena au nisipende... Gimme a Break plz," alijibu.


Ukurasa wa mdaku wa Tanzania, Jay Maudauku, ulinasa maoni hayo:


Mnamo Februari 2022, Wema Sepetu alijibu madai kuwa amekuwa akitumia teksi kwa miaka mingi kwani hana uwezo wa kumudu gari.

Wema alisema ana haki ya kuishi anavyotaka.

Nyota huyo wa Bongohood pia alibainisha kuwa hajali watu wengine wanafikiri na kusema nini juu yake.


Hivi ndivyo alivyojibu madai hayo:

"Hivi nikitumia teksi, ni maisha yangu mwenyewe na maadamu niko sawa nayo, sijali sana. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Watu wanaweza kuzungumza wanavyotaka kwa sababu ni kawaida kuzungumza juu ya wengine. Pia nawaongelea watu wengine lakini sio lazima umjulishe mtu unachomsengenya.Kama ndicho kinachomfurahisha mwache aendelee lakini sijali ilimradi hainigharimu chochote."

Gavana Kihika Aahidi Kumsaidia Ajuza Aliyekamatwa Kufuatia Kesi ya Ardhi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad