Kapteni Rubaga Shujaa Aliyeondika Kwa Uchungu Ajali ya Precision Air

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kapteni Buruhani Rubaga alirusha ndege ya Precision PW.494 kutoka Dar es salaam kwenda Bukoba.

Jirani na uwanja wa ndege Bukoba anapata changamoto za hali ya hewa, anaamua kubai time anazunguka huku na huko alafu baada ya kuwatangazia abiria anasema tujaribu mara ya mwisho tukishindwa tukatue Mwanza.

Akiwa mita 100 hadi 200 kutoka uwanja wa ndege (hatujui kilichotokea) anaamua kutua kwa dharura katika ziwa Victoria kunusuru maisha ya abiria wake.

Jitihada za uokozi zinashindwa kumuokoa kwa wakati, ameenda lakini ameokoa roho za watu 26.

Huyu ni Dereva wake Msaidizi (First officer ) Aliyejulikana kama Odhiamba naye alifariki katika ajali hiyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad