Lukamba Alirogwa Bila Kujijua, Udanganyifu Akauona ni Uaminifu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 




Kurogwa si lazima uganga uhusike ila pia tabia njema ambazo mtu anaweza akazionyesha ingali si zake zinaweza kukufumba macho ukiamini ni mtu sahaihi kwako, Kupitia Fresh Weekend ya #wasafifm hii leo November 12, Aliyekuwa mpiga picha wa #Diamondplatnumz , @lukambaofficial ameweka wazi udanganyifu aliokuwa akitendewa na aliyekuwa mkewe, #ceccy. kwa mujibu wa Lukamba anadai Ceccy alibadilika kitabia ikiwemo kutoshtuka tena na hasira za mumewe pale hata anapokosea (Ceccy).


Lukamba anadai kuna majibu ya Ceccy yalimwaminisha kuwa mwanamke huyo tayari alikuwa amepata back up sehemu nyingine, hii ni baada ya Ceccy kumdanganya Lukamba kuwa yupo room anataka kulala wakati huo yupo Club huko DUBAI, licha ya Ceccy kujua mumewe kajua ukweli na kakasirika, bado mwanamke huyo hakuonyesha kushtuka zaidi ya kumuuliza mumewe ni nini Hukumu yake baada ya hapo, kitu ambacho si sahihi kwa watu waliooana.


Mbali na hayo yote, Lukamba amemuomba msamaha mkewe wa kwanza, #shuu akiamini ndiye mwanamke mwenye mapenzi ya kweli aliyempenda msela bila jina, baada ya kile Ceccy alicho kifanya. Lukamba na Ceccy waliripotiwa kuachana mwezi mmoja uliopita ikiwa ni muda mfupi tangu Lukamba atangaze rasmi kuondoka WCB.


Wengi wanaamini Ceccy alifuata Fame ya WCB na sio Mapenzi kwa Lukamba.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad