Mapenzi ya Diamond na Zuchu Yapata Baraka Kutoka Kwa Mama Dangote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni maneno 10 pekee yaliyo tumika kama caption ya Mama Dangote katika siku muhimu ya kumtakia heri ya kuzaliwa muimbaji wa kike nchini, #Zuchu. kwenye hayo maneno machache yalileta picha ya baraka kutoka kwa mama juu ya kile kinacho husishwa kati ya #Diamondplatnumz na Zuchu kuwa ni mtu na mpenzi wake.


Mama Dangote alimuwish Zuchu kwa kumtakia Baraka tele kwenye maisha yake, na neno “Mama mkwe” ndilo lililo leta picha ya wazi kuwa Mama amebariki Couple ya mwanaye na Zuchu.


Happy birthday once again @officialzuchu ... Keep pushing and shining❤❤

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad