Marehemu Pancho Latin Ahusika Katika Album ya Rosa Ree, Collabo za Wanamuziki Watano Kutoka nje ya Nchi pia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Novemba 26 yaani Jumamosi ya wiki Ijayo, kaa tayari kwa album mpya na ya kwanza kutoka kwa rapa @rosa_ree iitwayo "Goddess" ambayo ameitaja kuiandaa kwa takribani miaka minne.

Album hiyo ina jumla ya ngoma 17, huku wanamuziki wengine 10 toka nchi mbalimbali wamepewa shavu la kusikika kwenye album hiyo kwa kushirikishwa. Wapo wakali kama Spice Diana, Nadia Mukami, Fid Q, A Pass, Cherry, Fk Fameica, Ssaru, Appy, Christian Bella na Ibrah Jacko.

Kwa mujibu wa Rosa Ree, album ya "Goddess" imetayarishwa na jumla ya watayarishaji (producers) watano, ambao ni Pancho Latino (marehemu), Paul Maker, Ibrah Jacko, Breezy International na Joga Beat.

Kaa tayari kwa album hii mpya na ya kwanza kwa @rosa_ree katika safari yake ya muziki.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad