Msizwa Asema Bado Hajatoa Talaka Tatu kwa Esma Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kwa namna sheria ya dini ya Kiislamu ilivyo ni kwamba mke wa ndoa lazima apewe talaka tatu kama mmefikia makubaliano ya kuachana mbali na hapo bado anahesabika ni mkeo.


Katika mahojiano yetu na @msizwa23 ameweka wazi kuwa hajatoa talaka yoyote licha ya kwamba alimuoa @_esmaplatnumz kwa kufuata sheria za dini hivyo bado anahesabika ni mke wake.


@msizwa23 anasema kuwa kwa sababu @_esmaplatnumz ndio alitaka yeye amuoea na wala yeye hakuwa na lengo la kumuoa @_esmaplatnumz kwa sababu tayari alikuwa na wake wawili hivyo @_esmaplatnumz alipomwambia wanataka waachane hakukataa.


Amemaliza kuwa @_esmaplatnumz alikuwa mke wake wa tatu.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad