Rais wa FIFA "Nchi za Magharibi ni Wanafiki Wakubwa Kuikosoa Qatar Kombe la Dunia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Qatar kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.

Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili.

Amesema kile kinachoendelea ni unafiki wa hali ya juu huku akisema kila mmoja anapaswa kuwa huru kumuunga mkono Mtu au kundi lolote analolitaka.

Amesema kile Ulaya ilichokifanya miaka 3000 iliyopita inapaswa iwe ikiomba msamaha kwa miaka mingine 3000 Ijayo kabla ya kuanza kutoa ushauri wa maadili kwa Watu ambapo amesema ukosoaji ni muhimu lakini unapaswa kuandamana na suluhisho
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad