AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Huenda mkalawaumu Viongozi, bench la ufundi au wachezaji ila hata Mashabiki wana sehemu yao ya kujilaumu, ni ngumu kusukumizana kwenda uwanjani ni passion halisi ya mpira.
Yanga walaumiane tu wenyewe, sisi tupo pale kama Wadau tunaomba mlaumiane wenyewe kisha mjipange upya, huu hauwezi kuwa uwanja kwa idadi chache ya Mashabiki wakati timu ina mchezo muhimu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK