Ubabe wa Diamond Platnumz Unaendelea Kuporomoka Huko Youtube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Licha ya kuendelea kusalia kwenye nafasi ya kwanza kila mwezi kama msanii anayetazamwa zaidi nchini kwenye mtandao wa YouTube, ila haiondoi ukweli ambao mashabiki wengi wa WCB hawataki kuusikia kwamba Diamond anazidi kuporomoka kwenye nafasi hiyo kwa idadi ya Namba anazopata kwa mwezi.


Kabla ya First of All kutoka, Diamond alikuwa kimya kwa muda, huku akionekana zaidi kwenye kolabo, lakini kwa upande wa namba, bado alikuwa na namba za kutisha ndani ya mwezi kuanzia 50M+ kwenye mtandao wa YouTube. Kadri miezi inavyo zidi kusogea, Namba zake zinazidi pungua, na kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu kupita, Diamond ametazamwa chini ya mara milioni 20 kwa mwezi, akitazwamwa mara 19.1M akimpita Zuchu kwa milioni 2.2 ambaye ana 16.9M.


Ni nini kinaathiri Trend ya Diamond? Ni bando kupanda, ubunifu kuisha au nyakati zipo ukingoni? Majibu baki nayo.


Credit: #chartdatatanzania/Sojamedia

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad