Sky Tanzania Afunguka Kuhusu Album ya Rosa Ree "Goddess ni Bonge la Album..Content, Beats, Delivery ni Perfect Kabisa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rosa Ree asante sana kwa kutambua mchango wangu mdogo katika career yako. Kiukweli, asilimia kubwa ya mafanikio yako ni jitihada zako mwenyewe. Passion yako kwenye game ni level nyingine kabisa. Asante kutuburudisha kwenye uzinduzi wa album yako, nilifurahia kila sekunde.


#Goddess ni bonge la album. Content, beats, delivery ni perfect kabisa. Umeandika historia ya si tu femcee mwenye album kali, bali inakuwa moja ya kazi bora za hip hop kuwahi kuachiwa Tanzania.


Nilikuwa naangalia reaction ya @therealfidq wakati ulipokuwa unapreview ngoma na kuperform, niliona alivyokuwa anafeel kila jiwe.


Hongera sana. Kila shabiki wa Hip Hop na muziki mzuri anapaswa kustream album hii


#GODDESSTHEALBUM

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad