Tanzania Kufatilia Waliokamatwa na Dhahabu India

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPASerikali imesema inafuatilia taarifa za kukamatwa kwa wasafiri saba wakiwemo wanne waliotoka Tanzania wakiwa na kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya randi 320 milioni (TZS bilioni 9.18) katika Uwanja wa Ndege wa Mumbai nchini India.

Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara wa Tume ya Madini Tanzania (TMC), Venance Kasiki amesema wanaendeea kufanya uchunguzi kujiridhisha kama kweli madini hayo yametoka Tanzania ili kuliepusha taifa na utakatishaji wowote ambao unaweza kuwa umepangwa.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad