Waziri akita kambi kuzima moto Mlima Kilimanjaro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, ameweka kambi katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni mwendelezo wa ushiriki wake kuhakikisha moto unaowaka katika maeneo machache yaliyosalia katika hifadhi ya Mlima huo unazimwa.



Akiwa katika hifadhi hiyo Waziri Balozi Dkt. Chana amepokea taarifa ya utekelezaji wa kazi inayoendelea ya kuzima moto akiwashukuru na kuwapongeza  wadau wote waliojitolea kwa hali na mali katika kuhakikisha moto unadhibitiwa katika maeneo yote.


Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana ameendelea kukemea vikali tabia ya baadhi ya wananchi  wanaoanzisha au kuchoma moto hovyo katika maeneo yaliyohifadhiwa na kuisababishia serikali na wananchi wake hasara kubwa, na kusisitiza kuwa yeyote atakayebainika atafikishwa kwenye vyombo vya sheria.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad