Zari Atoa Mpya "Mimi Nina Chembe Chembe za Kihindi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya #zarithebosslady kupitia ukurasa wake wa Instagram kuweka wazi ni wapi karithi masikio makubwa/marefu kwa kupost picha ya babu yake, kuna Shabiki pia kupitia post hiyo ya Zari ameuliza utaifa wa Babu yake, na Zari akijibu kuwa Babu ni kutoka india.


Kwa maana hiyo, ukiacha kuwa Zari ni Mganda lakini pia ana viashiria vya kihindi kupitia kwa babu yake.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad