Feisal Salum Kwa Sasa Anaibeba Sana Yanga.. Apewe Heshima Anayostahili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Feisal Salum kwa sasa anaibeba sana Yanga Sc mabegani mwake anajitoa sana,amekua akileta madhara makubwa akiwa katika eneo la 18 ndani/nje Mpira wake lazima ulete Madhara.

Kiungo huyo Mzaliwa wa Zanzibar Mpaka sasa amekua na mchango mkubwa sana kwa upande wa Kikosi cha Yanga Sc.

Ni muda wa Kumpa Heshima kubwa,Kutokana na Thamani yake anayoonyesha Uwanjani.

Kubwa zaidi ni Mchezaji Mzawa ambae kuna muda anatoa Darasa kwa hawa ma Proo wa Ligi Kuu.

Leo hii anaifungia Yanga Sc goli muhimu na la ushindi katika Dakika za Jioni kabisa mbele ya Tanzania Prisons.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad