Ibraah "Natamani Kuwajibu Walio Niuliza Naondoka Lini Konde Gang"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa Bongo Flava, Ibra kupitia Insta Story yake ameandika matamanio yake ni kuwajibu waliowahi kumuuliza anaondoka lini Konde Gang, ila kiufupi ni kuwa hakuna anaye yakimbia mafanikio yalipo na yakamfaa, hivyo waulizao waendelee kusubiri, Chinga si wa leo wala wa kesho Kuondoka Konde Gang


Hivi karibuni msanii huyo amekuwa akihusishwa kutaka kusimamiwa kimuziki na mfanyabiashara #vunjabei taarifa ambazo hazikuwa kukanushwa na yeyote yule kati yao hadi masaa kadhaa yaliyo pita, Ibraah kuvunja ukimya juu ya suala hilo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad