AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika .
"Nategemea kuona sisi tutakuwa na mashabiki wengi zaidi kutoka barani Africa, tofauti na Argentina ambao wao mashabiki wao ni wale wa Messi,Sisi mashabiki wetu ni watu wote duniani na Africa ambao ni kwa asilimia 80% ni ndugu zetu "Kylian Mbappe
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK