Anerlisa Acharuka "Ben Pol Acha Kunizungumzia Nina Mengi Mabaya Kuhusu Wewe Nimeamua Kuwa Kimya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni wazi kwamba @anerlisa hajafurahishwa na kitendo alichokifanya aliyekuwa mume wake, mwanamuziki Ben Pol baada ya kumzungumzia kwenye mahojiano yake na #AyoTv pia akisema kwamba hajawahi kufurahia maisha ya ndoa na bibie huyo raia wa Kenya.


Anerlisa amemtaka @iambenpol aache kumuongelea kwani na yeye ana mengi kumuhusu mkali huyo ama kuonyesha lakini amechagua kusimama kama mwanamke (kuwa kimya). Amehoji kwanini anapenda kumzungumzia ili yeye aonekane mbaya!

"Ben naona umenizoea na unachukulia ukimya wangu kama udhaifu wangu. Ulikuwa na uwezo wa kumwambia anaekuhoji asikuulize kuhusu mimi. Kwa nini unapenda kila mara mimi nionekane mbaya. Chini ya kapeti unanitumia jumbe tofauti tofauti na namna unavyoniongelea".


"Kama kweli wewe ni mwanaume, nakuomba uweke wazi jumbe zote ulizokuwa unanitumia tangu Desemba 25 hadi Januari 4, 2023. Nina mengi ya kuzungumza kuhusu wewe au kuonyesha, lakini nimechagua kusimama kama Mwanamke."

"Ni rahisi sana, acha kuniongelea." - ameeleza @anerlisa kupitia insta story yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad