Mandonga Mtu Kazi Azawadiwa Gari Jingine Aina ya Subaru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Upepo umeendelea kueleweka kwa Bondia Karim Mandonga @k_mandonga ambaye amekua kwenye trend ya Top Stories za michezo siku za karibuni kutokana na pambano lake la Kenya ambalo alishinda kwa kumchapa Bondia Daniel Wanyonyi ambapo sasa amerejea Tanzania na kujikuta akipokea zawadi juu ya zawadi kutoka kwa Wadau mbalimbali walioguswa na sanaa yake.

January 18 Mandonga alizawadiwa gari aina ya NADIA... lakini January 20 akazawadiwa gari aina ya SUBARU na sasa anasema atakua akitembelea SUBARU huku NADIA akiiacha nyumbani kwake Morogoro imsaidie Mke wake na Watoto wake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad