Juventus Yapokonywa Alama 15 Kwenye Ligi ya Serie A

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Juventus imepokonywa alama 15 kwenye Ligi ya Serie A na Mahakama ya michezo Nchini Italia kufuatia uchunguzi kuhusu michakato ya uhamisho wa wachezaji wa klabu hiyo pamoja na madai ya utumiaji wa mapato yasiyo ya kweli.

Juve itaporomoka kutoka nafasi ya tatu mpaka nafasi ya 11. https://t.co/8B5adGJZrB
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad