Header Ads Widget


Mandongo Afunguka "Video za Ushushi Zilizokuwa Zinasambazwa Kenya Kuwa Nimepigwa Ndio Zilinipa Nguvu Kumdunda Mkenya"


Bondia Mtanzania @k_mandonga amedai alionyeshwa video ambao inasambaa mtandaoni kwamba amedundwa kwa KO na Mkenya, Wanyoni.


Pambano hilo lilikuwa gumzo Mtandaoni kutokana na tambo za mabondia hao ambazo zilivuta hisia za mashabiki wengi wa Kenya na Tanzania.


Mandonga amedai baada ya kuona clips za uvumi kwamba amedundwa ilimpa nguvu mpya yakutaka kuonyesha uwezo wake na akafanikiwa.



Kwa mujibu waandaji wa pambano walidai Mandonga alikuwa apambane kama mtangulizi lakini baada ya kuona hamasa imekuwa kubwa wakaona wamuweke wa mwisho.

Post a Comment

0 Comments