Mchungaji Aliyekufa na Kufufuka Adai Alikuta Kuzimu Watu Wanachomwa Moto Huku Wimbo wa Rihanna Ukipigwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchungaji mmoja Jijini Michigan Marekani ameibuka na kudai alikufa kwa muda (temporary died) na baada ya kufufuka ametusimulia mengi makubwa ya kustaajabisha.

Mchungaji huyo kwa jina Gerald Johnson, alitumia mtandao wa TikTok kusimulia kwamba, baada ya kufa alienda Kuzimu (Hell) na alikuta mashetani wakiwapa mateso makali binadamu ambao wametupwa huko motoni na kubwa la kushangaza ni kwamba, wimbo wa Rihanna “Umbrella” ulikuwa ukipigwa wakati mateso hayo yakiendelea.

Johnson hakuamini kama angeenda kuzimu baada ya kufa ukizingatia alikuwa Mchungaji na alifanya mema ya kuwaweka binadamu kwenye mstari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad