Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
"Ndoa ya pili nilimuoa mtoto wa Kichaga. Nilivyomuoa nilikwenda kuishi naye Zanzibar. Nilikaa naye kule yakanishinda, nilimkera, nilimfanyia vitu vya ajabu. Tulirudi Dar. Nilikuwa nakaa kwao" Mzee Yusuph ameiambia Clouds TV na kuongeza
"Tulivyoachana nilikwenda kuchukua vitu vyangu. Aliniambia 'Kwendaaa! 'Mlango ulee! Nilijisikia aibu. Nawaambia wanaume wasikae kwa wake zao. Nilihisi aibu Sana na wakati ule nilishakuwa na nyimbo kama Nitadumu Naye, Kipendacho Roho.
"Na yeye ndiye niliyemuimbia Kipendacho Roho maana alikuwa mwembamba Sana na Maneno yalikuwa mengi"
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA
Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA
0 Comments