Shilole Atangaza Kwa Uchungu Kuvunjwa Kwa Shishi Food ya Kinondoni Dar Kupisha Ujenzi.. Atoa Chozi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika Shilole haya baada ya kutangaza kusimamishwa kufanya biashara Pale Shishi Food Kupisha Ujenzi wa Hospitali:

"Kama binadamu haliwezi kuwa rahisi kwangu. Kuna vijana wenzangu hapa itabidi wakose ajira, kuna vitu vingi vitapotea, na kama mfanyabiashara kuna fedha zitapotea. Kwa hiyo sio rahisi ndio maana niliwaomba @aman_martins na @suzanswila wanisaidie kuzungumza.

Lakini, #ShishiFood ishakuwa brand ya watu, kuna wengi wananitazama, hasa mabinti na wapambanaji wengine. Nahisi nikianguka mimi nitawavunja moyo. Isingekuwa hivyo labda ningeamua tu kutulia zangu niwaze mambo mengine niseme naachana na hii kitu.

Kwa hiyo mimi nitapambana, sitakata tamaa, Mungu atanipa uwezo tena, Watanzania wenzangu wataendelea kuniunga mkono na Shishi Food Dar es Salaam itasimama.
.
Kwa sasa tunaboa kwa tulivyoelekezwa, Dar es Salaam tunasimama hadi tutakapojaaliwa kukamilisha sehemu nyingine. Dodoma pako wazi naomba support yenu.
.
Mwisho: Naipongeza Serikali kwa mradi inaofanya pale Ada Estate, nawashukuru viongozi wa Mkoa (@maosmakalla), Wilaya na Manispaa (@ggondwe, Dada Stella na wengine wote) kwa kuniongoza vyema katika hili"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad