AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Esma Platnumz Dada wa Msanii Diamond Platnumz Hataki tena kuwa SINGLE, ni kauli aliyoitoa kwenye IG Stori yale leo kama njia ya kumpongeza Raya ambaye ni mke mtarajiwa wa msanii wa bongo fleva Barnaba ambaye hivi karibuni alibadilisha dini ili kufunga ndoa na Ray.
Esma aliandika, "Raya Nimejikuta na mimi nakuonea wivu si atokee mtoto wa mtu mkristo anipende mpk abadilishe dini kwaajili yangu mjane mie... kumbe inawezekana bwana staki usingle sasa ajitokeze aslimu tu kwakweli kwaajili yangu".
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK