Harmonize Kapiga SHOW ya Kibabe Sana Kili Marathon 2023, Wananchi Wampokea, Kuchora Tattoo ya Mlima Kilimanjaro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize Kapiga SHOW ya Kibabe Sana Kili Marathon 2023, Wananchi Wampokea, Kuchora Tattoo ya Mlima Kilimanjaro

 Siku ya Juzi Feb 24 mjini Moshi ilikuwa ni ufunguzi wa Kili Marathon 2023 ambapo hufanyika burudani ya siku 3 mfululizo, na miongoni mwa wasanii walionogesha jukwaa la Kili Dome ni Msanii @harmonize_tz


Harmonize hajaishia kwenye jukwaa la Kili Dome, bali amewaahidi wakazi wa moshi kuwabeba mwilini mwake kwa kuchora tattoo ya mlima Kilimanjaro kutokana na love waliompa kwenye show aliyoifanya hapo jana.


Ikumbukwe hivi karibuni msanii huyo alifuta tattoo iliyokuwa kwenye mguu wake wa kushoto aliyochora sura ya aliyekuwa mpenzi wake, @kajalafrida pamoja na mwanaye

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad