Huku Fahyma, Kule Paula, Rayvanny Apagawa, Awekwa Mtu Kati

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Huku Fahyma, Kule Paula, Rayvanny Apagawa, Awekwa Mtu Kati

Patakuwa hapatoshi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo kwa mara ya kwanza,Rayvanny atakutana uso kwa uso na baby mama wake, Fahyma  katika event ambayo Paula Kajala naye atakuwepo!


Inafahamika kwamba Paula ndiye aliyevunja penzi la wawili hao na kusababisha Rayvanny ahamishie majeshi kwake, lakini baadaye ikaelezwa kwamba Chui ameamua kurudi kwa mzazi mwenzake, Fahyma baada ya kuzinguana na paula.


Watatu hao watakutana ‘live’, Jumapili hii mkoani Kilimanjaro ambako itafanyika shoo kubwa ya mastaa wa Bongo Fleva na Bongo Movies katika Ukumbi wa Hugo Gardens.


Mitandaoni tayari kumechafuka, wadau wakihoji je, Rayvanny atachagua kuhang na nani kati ya wawili hao?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad