Diamond afika Mamlaka ya Anga, ndege yake imetua?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Picha za supastaa wa Bongo Fleva anayemiliki WCB ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media akiwa kwenye ofisi za Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) zimeonekana na kuzua maneno.


Picha hizo za Diamond akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johazi, zimeibua mijadala kuwa huenda staa huyo wa Bongo Flava yupo kwenye hatua za mwisho za kuishusha ndege yake binafsi hapa Bongo baada ya kuonekana kana kwamba ameshindwa kununua ndege.


Watu wa karibu wa Diamond wanaeleza kuwa staa huyo alikwenda kwenye ofisi za mamlaka hiyo kwa ajili ya kuweka mambo sawa kufuatia uwekezaji mkubwa aliodai kuwa anataka kuufanya katika mambo ya anga ikiwemo kununua ndege mpya na kufungua shirika lake ya usafiri wa anga.


Ili kusafisha upepo huo wa mitandaoni, chawa wa Diamond ambaye pia ni mtangazaji wa Wasafi Media, Baba levo amedai kuwa Diamond alikwenda TCAA kwa ajili ya mazungumzo na kukamilisha taratibu za kuiingiza ndege yake mpya aliyoinunua mwaka jana.


Diamond amekuwa akizungumza mara kwa mara kuwa ameshanunua ndege na muda wowote itawasili nchini ili iweze kurahisisha shughuli zake za kimuziki hasa safari zake za kimataifa lakini baadaye alidai kuwa watu waliomshauri walimuingiza chaka.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad