Kauli ya Kwanza ya Godbless LEMA Baada ya Kutua Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Kauli ya Kwanza ya Godbless LEMA Baada ya Kutua Tanzania

Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema ambaye amerejea nchini Tanzania wiki hii akitokea uhamishoni ameonyesha jinsi alivyopitia magumu na kutamani Mungu kumuondoa kwenye kazi ya Siasa.


Ameyasema hayo akimshukuru Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe muda mchache baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi waliojitokeza kwa wingi na kumsikiliza.


“Mwenyekiti nafurahi sana umekuja, sikuwa na uhakika kama utakuwa hapa,” Lema alimsukuru Mbowe.




”Lakini namshukuru sana Mwenyekiti, Mwenyekiti wetu anahangaika sana na wewe umetusababishia matatizo makubwa sana kama familia inataka kulaani baadhi ya watu kwaajili ya matatizo jua wewe umo, Umetusababishia matatizo makubwa sana. Hii kazi kama Mungu angeweza kunitoa, mimi kwa kweli ningeshukuru,”


Lema ambaye kupitia taarifa yake amedai aliondoka nchini baada ya kupata taarifa za kutaka kuuawa, amedai ameiacha familia yake uhamishoni mpaka pale atakapojihakikishia hali ya usalama.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad