MAUAJI: Daktari aua Watoto Wake Wawili Kabla ya Kujiua yeye Kisa Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Dr. Tshubes wife

Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7.


Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa Marehemu Dr. Tshube alikuwa na mgogoro mkubwa unaochochewa na wivu wa kimapenzi akimtuhumu mke wake kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wengine.


Mgogoro huo uliodumu kwa siku nyingi ulihitimishwa siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita baada ya kumfukuza mkewe kisha yeye binafsi kujifungia ndani ya nyumba na watoto wake.


Kabla ya kuchukua uamzi huo, Dr. Tshube alituma jumbe nyingi kwa ndugu na rafiki zake akiwataarifu kuwa anataka kujiua, baadae aliingia kwenye Akaunti yake ya Mtandao wa Facebook na kuchapisha majina ya wanaume aliowatuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wake.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad