Mke wa Mojay Awaka "Gigy Money Usimchafua Mume Wangu Mitandaoni"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mke wa Mtangazaji wa #CloudsFm @moj360 , @_she_is_meenah Amefunguka kuwa anakerwa na Maneno ambayo ameyatafsiri kuwa ni yanamchafua mume wake kutoka kwa EX wa #Mojay , @gigy_money_og

#Meenah amesema kuwa amekuwa ni bora #Gigy angekuwa anamtafuta #Mojay moja kwa moja na sio kuwa analia vitu vya uongo mitandaoni.

"Unajua ukimzungumzia mtu kama Mama MAYRA (gigy) kama kuna kitu amekufanya #MO kikamgusa ni bora amtafute moja kwa moja au awatafute ndugu zake na sio kuongea vitu vya kinafki mitandaoni kumchafua ni mtu anaependa lolote limkute Mume wangu me sipendi"

"Amekuwa akimuongelea mara ni Muuaji ,Alikuwa alimpiga mpaka Mimba ikaharibika sio vizuri amachafua na #MO anategemea watu ni Mwandishi wa Habari kwahiyo anavyo chafuliwa sio vizuri,Familia nzima haipendi anachokifanya"- Mke wa #MoJay . #Meerah.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad