Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetambulisha jezi mpya kwaajili ya Michuano ya AFCON 2023.
Tanzania Sweetheart @wemasepetu ni miongoni mwa model ambao wametokelezea kwenye picha za jezi hizo.
Uzi huo unauzwa tsh 45,000 katika maduka ambayo TFF wameyatangaza kupitia post zao.
0 Comments