Wasanii wa Singeli wanaolipwa kidogo hawajitambui-Dulla Makabila

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Msanii wa Singeli, Dulla Makabila amesema, suala la wasanii wa Singeli kuwa wanalipwa pesa kidogo sio la kweli bali wasanii wasiojitambua ndio wanalipwa pesa ndogo.


Dulla Makabila ameyasema hayo usiku wa Marchi 2, 2023 alipokuwa kwenye listening part ya albamu ya Kayumba iliyofanyika pande za Uncle's Masaki jijini Dar.


"Natamani hata niwataje majina hawa wasanii wasiojitambua maana wananikata kweli, mimi utakuta nimekataa labda kiasi flani cha hela kutoka kwa promota lakini unashangaa mwenzako amechukua ameenda," alisema Dulla.


Dulla alisema, wasanii wengi wa Singeli wanaofanya hivyo, hawana vyanzo vingine vya mapato hivyo kujikuta wakichukua kiasi chochote cha pesa jambo ambalo linawashushia hadhi yao ambayo yeye anapambana kuipandisha.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad