Marioo ajikanyaga ishu ya kusainiwa WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 




Staa wa Bongo Fleva, Omari Mwanga maarufu kama Marioo kwenye Exclsuive Interview na Amplifanya ya Clouds FM amefunguka kwa mara ya kwanza toka Diamond Platnumz atoe kauli kwamba Marioo aliwahi kutaka kusainiwa kwenye Label ya WCB.

Aamesema, kuna wakati fulani walikuwa karibu hivyo huwenda ukaribu wao wa kikazi ulileta tafsiri ya kutaka kusainiwa WCB.

“Kusema ukweli yeye ni Kaka yangu, ni Mtu ambaye mimi namtazamia sana kama kioo na tunaona ambavyo yeye amefanikiwa sana kwenye mziki kwa hiyo mara nyingi huwa natamani kukaa naye niongee naye kuna experience flani nataka kutoka kwake kwa hiyo tunaongea vitu vingi, kiukweli nafurahi jinsi anavyonipokea na ananikubali sana.....sitaki kusema kwamba sijawahi kumwambia labda nataka kusainiwa na wewe ama la lakini nilishawahi kumuomba support,” alisema Marioo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad