Davido 'Kumpata Chioma na Kuwa Naye ni Auamuzi Sahihi Niliyowahi Kuufanya Maishani'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Davido And Chioma
Davido And Chioma

Davido 'Kumpata Chioma na Kuwa Naye ni Auamuzi Sahihi Niliyowahi Kuufanya Maishani'

Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, David Adeleke, (@Davido) ameeleza kuwa moja kati ya uamuzi bora zaidi kuwahi kuufanya ni kumpata mke wake Chioma.

Kupitia mahojiano na kituo cha Redio, Beat 105.3 FM cha mjini Atlanta, Marekani Davido amesema alifahamiana na mke wake takriban miaka 20 hali iliyopelekea maelewano mazuri baina yao.

“Mimi na mke wangu (Chioma) tulikua pamoja na tulikwenda shule pamoja, nilikutana naye chuoni nikiwa mwaka wa kwanza na tumezoeana sana tu, Yeye ni kama sehemu yangu."

“Hakika lazima upate mtu anayekuelewa, kwangu uamuzi bora zaidi ambao nimewahi kufanya ni kuwa nae kwani nimemfahamu karibu miaka 20."

Wawili hao walifunga ndoa miezi kadhaa iliyopita baada ya kifo cha mtoto wao wa kiume, Ifeanyi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad