Mange Kimambi Amshukia Tena Zari "Mpaka Ulipokuwa Una Miaka 30 Ulikuwa Unaomba Pesa Kwa Ivan na Marafiki zake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi Amshukia Tena Zari


Ameandika Mange Kimambi: 

"@iamfantana what’s your cashapp? Naomba nikitumie vidola vyangu nilivyosevu from kubeba boxi maana umejua kunipa raha 🤣🤣🤣🤣🤣.

@iamfantana naona ume muuliza yeye alikuwa ana miliki nini at 25? Huko 25 mbona umefika mbali toto? Huyu mpaka in her late 30 alikuwa anaomba big money from Ivan then rafiki wa Ivan Lawrence akaposti Chats zake akiwa anaomba atumiwe big big money. So sio 25 tu, huyo kama ex wake Ivan asingekufa hadi leo angekuwa bado anadanga. Nimekupa mawe hayo, mpe next time 🤣. Njoo Dm nikutumie na chats alivyokuwa anaomba Big money 🤣🤣🤣🤣.

Nyie kutafuta fame is not for the weak. Bi Tuks anatafuta fame mpaka anadhalilishwa na vitoto ambavyo anaweza kuvizaa huku anakimbia. Haki mtu haniingizi kwa show ya kuchambwa na vitoto vya age ya Bhoke 🤣🤣🤣

Alafu you know what? Kwenye hii show hakuna filters so Zari anaonekana her real age. Huku insta ako anaonekana 30, kwa show anaonekana 50. Nyieeeeeeee" Mange

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad