Haji Manara Afunguka 'Kiuhalisia Yanga ndio Bingwa wa Afrika Kuacha Hawa Waarabu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Bara lote la Afrika lina idadi ya Watu Bilioni moja,Milioni Mia Nne na Thelathini na mbili na ushee hivi.

Ukiondoa Mataifa Sita ya kiarabu ya
Misri,Morocco,Algeria,Tunisia,Sudan na Libya ambayo jumla yake ya Population ni almost milioni mia Tatu, Idadi inayofika Watu zaidi ya Bilioni Moja Afrika nzima, inawakilishwa na Yanga pekee kwenye CAF Final Competitions.

Kiufupi Young Africans ndio Club pekee ya kutoka Sub Sahara na Mataifa yote ya Waafrika kiasili ambayo ipo final, ikiwakilisha
MAGOLO’ wote waliopo Afrika.

Sijui nimeeleweka? Kiuhalisia Yanga ndio Bingwa wa Afrika OG So far, Yaani Wakoloni wasingeyaingiza Mataifa ya kiarabu ndani ya Bara hili kubwa, tungebaki cc tu Wananchi.

Nirudie kuielewesha jamii ya Wabishi, Ukiondoa Algeria, Morocco na Misri ambayo ni Mataifa ya kiarabu, Tanzania ndio Taifa pekee la Magolo ambalo Club yake ipo final ya Afrika, iweke vizuri Taifa PEKEE.

Facts are driven by facts! They are not controlled by lies. Facts will always outdo hearsay!!

Magolo wote wa Afrika zaidi ya ONE BILION,wanawaakilkshwa na YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB.

Imagine utalikuta Golo lishashiba Gimbi Pori kisha halitaki @yangasc awe Bingwa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad