Harmonize Kumchumbia Phiona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Taarifa zinaeleza kuwa Harmonize anatarajia kwenda nchini Rwanda kwa ajili ya kumchumbia mpenzi wake, Phiona.


Akizungumza kwenye uzinduzi wa reality show ya Kajala na Pauka iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Mei 11, 2023, MC Gara B alianza kwa kueleza kuwa alikuwa surprise kuonekana kwenye show hiyo lakini pia amefurahi kwani Harmonize hana tatizo naye.


"Nimeonekana kwenye hii reality show siku ya engagement ya Kajala, lakini uzuri ni kwamba nilikuwepo kwenye maisha ya Kajala na Harmonize lakini hata walipoachana abado nipo.


"Hivi tunavyoongea, Harmonize ameniambia nijiandae kwenda Kigali kwenye shughuli ya mchumba wake," alisema Gara B

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad