Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho Kukosa Mecho zote za Fainali CAF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho atakosa mechi mbili za Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kutokana na adhabu ya kadi za njano.


Yanga itapambana na USM Alger kutoka Algeria, mchezo wa kwanza ukichezwa Jumapili hii, Mei 28, 2023 huku wa marudiano ukitarajiwa kuchezwa June 3, 2023.

Kwa mujibu wa kanuni za CAF, mchezaji akipata kadi 6 kwenye mashindano haya atapata adhabu wa kukosa michezo miwili mfululizo.

Aucho alipata kadi ya 6 kwenye mashindano haya katika mchezo wa pili wa nusu fainali dhidi ya Marumo Gallants uliopigwa Afrika Kusini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad