MANGE amchana ZARI kuhusu bifu yake na FANTANA 'Hivi mnajua huyu mama hayuko sawa kichwani?'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mange Vs Zari Hassan
Mange Vs Zari Hassan

MANGE amchana ZARI kuhusu bifu yake na FANTANA  Ameandika haya:

"I lost a few brain cells from reading this BS…. Talk about delusional. Yani sijui hata pakuanzia kumjibia mdogo wangu Dai 🙄🙄.
.
Eti yeye ndo kamuintroduce Dai to EA. Bi Tukinao forgot alivyokutana na Dai she had less than 100k followers 🤦🏽‍♀️. Hivi yuko serious huyu mama??
.
Ngoja niwaambie kitu Bi Tukinao kadata because she has finally met her match, someone she can’t call poor or a peasant 🤣🤣. Kazoea kugombana na watz au Waganda ambao huwa anawa-dismiss kwa kuwaambia ni maskini. Sasa this time kajikuta yuko around watu wako na hela alafu they are young, so kapewa za uso mpaka kadata na mabegi yake ya China Town🤣🤣🤣🤣
.
Eti akimtaka Dai, Dai will go running back? Girl if you can pull Dai or someone of his level mbona uko na viuchafu toka uchane na Dai? We would only believe this if baada ya Dai ungeenda kwa kina Burna Boy au kwa kina Davido instead umekuwa na wanaume ambao Dai can hire as his pool boys. Embu tuache bwana. Eti hii Issue imeleta a problem in her marriage? Kwa mume gani? Huyo ambae Dai akiwaga South anafukuzwa kabisa mpaka Dai aondoke ndo arudi in the picture? 🤣🤣🤣🤣
.
.
Hivi mnajua huyu mama hayuko sawa kichwani? Alafu kichambo cha @iamfantana kimemuingia mpaka kwenye roho, sidhani kama kawahi kushushwa thamani hivi in her whole life. Hajui how to deal with it. I’m sure now ana regret hata kuwa kwenye hiyo show, maana hii ni season ya pili wanamchamba kuhusu kubeba vitu feki 🤣🤣. Bora alivyokuwa zake tu kwa social media alikuwa anatuna na kudanganya watu ana hela ambazo hana ila kwa hiyo show wanamu expose left and right. Yani kakutana na washenzi wenzie, huko hana mtu wa kumuita poor au peasant 🤣🤣🤣. Nacheka mimi.
.
.
@iamfantana You said what we all been wanting to say. Keep it up. Every episode mkumbushe kuhusu mabegi yake ya China Town. 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu we tako lako umelitengeneza vizuri, ndio linaonekana gumu kama cementi ila shepu yake nzuri, limekaa sexy la Zari sasa, Lipo juu juu ka break za honda." Mange Kimambi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad