Mbunge Awashukia Matrafiki Kwa Tabia za Kujificha Vichakani na Kushtukiza Madereva

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Viti Maalum Angelina Malembeka akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo amehoji sababu za Askari wa barabarani kujificha porini badala ya kukaa barabarani na kuwasaidia Madereva.

Malembeka amesema “Kuna maeneo ambayo Polisi wanatupa kero wanaanza na king’amuzi wakishika mmoja wenye 90 yatapita magari hata 20 yataoneshwa magari yote 90 kama ving’amuzi vibovu vikatengenezwe au vinunuliwe vipya”

“Lingine wana mchezo wa kujificha utaona tu ghafla kakurupuka kwenye mihogo sasa wewe ni Bwana shamba na kwenye mihogo ulifuata nini, kaa barabarani tukuone kama kuna tatizo tusimame tukwambie kuna mwingine anamtaka Trafiki amuulize lingine wana ucheleweshaji usiokuwa na sababu anaweza kusimamisha magari halafu yeye anachati anasubiri Konda au Dereva aje sasa mnawatia hasira Madereva”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad