Mkuu wa Mkoa Amosi Makala Amuomba Waziri Mkuu Kukutana na TRA Kisa Mgomo wa Wafanyabiashara Karikooo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa Amosi Makala Amuomba Waziri Mkuu Kukutana na TRA Kisa Mgomo wa Wafanyabiashara  Karikooo

Mkuu wa Mkoa Amosi Makala Amuomba Waziri Mkuu Kukutana na TRA Kisa Mgomo wa Wafanyabiashara  Karikooo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kumuona Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye leo atakutana na uongozi wa TRA, mawaziri husika na kamati ya wafanyabiashara ili kutafuta suluhu ya mgomo huo.

Makalla amesema hayo leo Jumatatu Mei 15, 2023 alipotembelea Soko Kuu la Kariakoo ambapo wafanyabiashara wamegoma kufungua biashara zao wakilalamikia utitiri wa kodi.

Nimemuomba Waziri Mkuu akimaliza kuzika akutane na TRA, viongozi husika wakae wajadili hili ili lifike mwisho" Amsema Makala

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad