Machinga Wasusia Mgomo Kariakoo...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Machinga Wasusia Mgomo Kariakoo...

 Machinga Wasusia Mgomo Kariakoo... 

Wafanya biashara wadogo maarufu kama machina wameendelea na biashara katika eneo la Kariakoo licha ya kuwepo kwa mgomo unaendelea wa wafanyabiashara wanaomiliki maduka.

Machinga wameonekana wakiwa kwenye ratiba zao kama kawaida huku wenye maduka wakiendelea na mgomo wao unaopiga msusuru wa kodi wa TRA huku wakishinikikza kuonana na Rais Samia Suluhu ili aweze kutatua changamoto zao kwa madai kuwa wamekuwa wakipigwa danadana kila uchwao.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ni miongoni mwa viongozi waliofika kuwatuliza wafanyabiashara hao huku akiwasihi kuendelea na biashara kwani tayari amekwisha muomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukaa meza moja TRA pamoja na baadhi ya viongozi wa wafanyabiashara hao kwa lengo la kutatua kero hiyo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad