Mrembo Aliyekiss na Diamond Netflix Alifanya Operation ya Kuongeza Makalio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo anae trend kua kwenye penzi na msanii @diamondplatnumz kumbe alifanya surgery tumepata picha yake ya zamani hata hakua na shape kama aliyonayo sasa, Mrembo huyo ana trend baada ya kukalia kiti cha zari kwenye reality show ya #youngfamousandafrican season two ambapo anaonekana wako na mahusiano na Diamond na kuna kipande wali kiss.


Mapema leo mtangaji Diva ametamani kuwa kama Fantana na kusema kumbe inawezekana na yeye akawa na tumbo dogo na shape flani hivi

Una maoni gani kuhusu shape za surgery?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad