Mtangazaji Oscar Oscar Ajiunga na Wasafi FM Baada ya Kutoka EFM..Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya mtangazaji @oscaroscarjr kutangazwa kama mtangazi rasmi wa #WasafiMedia ameandika ujumbe rasmi wa kumuaga boss wa kituo alichokuwa anafanyia kazi pamoja na wafanyakazi wenzake alikuwa akifanya nao kazi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @oscaroscarjr ameweka picha ya #Efm na kuandika "Nilienda EFM nikiwa kijana mdogo sana Kitaaluma, lakini nimeondoka kama mtu mzima. Malezi na Miongozo yenu kwa kiasi kikubwa imechangia mimi kuwa hapa nilipo leo, I will always be grateful 🙏🏻.

Tumetoka mbali sana. Tumepitia mambo mengi sana. EFM/TVE mtabaki kuwa Wazazi wangu kitaaluma kama ilivyo KALIUA. Sometimes, mtoto ili awe fully independent, analazimika kutoka kwa Wazazi wake. Analazimika kutoka kwenye his/her Comfort Zone.

Kipekee kabisa, nikushukuru my Boss Majjizo kwa kunipa nafasi na kuniamini kwa kipindi chote cha miaka NANE. Mungu akubariki sana. Asante sana My Boss and brother Ssebo, wewe nikiandika sitomaliza leo wala kesho. Asante sana Boss wangu Ndawula na Boss Dizzo na wengine wote. EFM/TVE kwangu haikuwa Kituo tu cha kazi, ni NYUMBANI.

Dina Marious, I love you. Mpoki, I will miss working with you. Roman, you are a Genius. Vero, sky is the limit. Eddo Mobby, thank you. Everist ❤️.

Zaidi, niwatakie kila la heri na baraka tele. Haikuwa rahisi hata kidogo kufanya maamuzi haya lakini maisha lazima yaendelee.

SHUKRANI 🙏🏻"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad