Mwanamke amfumania mumewe akiwa kitandani na mfanyakazi mwenzake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwanamke mmoja wa Nairobi amesimulia kwa uchungu kisa cha kuhuzunisha ambacho aligundua hivi majuzi kwamba mumewe ambaye wamekuwa pamoja kwa miaka 10 amekuwa akimchiti.


Akizungumza na TUKO.co.ke, mama huyo wa watoto wawili alisema alikuwa amesafiri kwa muda wa wiki mbili bara kumjengea mama yake nyumba.


"Kwa muda wa wiki mbili nikiwa mashambani, mume wangu hakunipigia simu wala kunitumia ujumbe mfupi kuniuliza kuhusu watoto au mimi, na hili halikuwa la kawaida. Na kwa hiyo, siku ya Alhamisi, niliamua kurudi nyumbani bila kumfahamisha. mshangao," alisimulia.


Hata hivyo, alipigwa na butwaa baada ya kumfumania mume wake na mwingine kitandani ambapo baadaye aligundua kuwa ni mfanyakazi mwenzake

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad