Nandy Amuangukia Nape Utapeli wa Ajira Kupitia Jina lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nandy Amuangukia Nape Utapeli wa Ajira Kupitia Jina lake


The African Princess, Faustina Charles 'Nandy' amemuomba Wazira ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amsaidie kufanikisha kuwakomesha matepeli wanaotumia jina lake.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy ameweka picha ya fomu inayoonesha kwamba ni ya mkataba wa kufanya kazi kwenye supermarket ya Nandy na kushusha waraka mzito:


Ndugu zangu hizo form ukiziona ona kama umeona ukoma, me sina supermaket popote na wala sina mpango wa kuwa nayo! Mnalipishwa form za kazi mshaona wapi jamani? Hawa watu wanawachezea wanaweka picha yangu kwa dp mkipiga simu video call wanaweka picha kwenye camera? Aniambie nani ashawahi ongea na mimi kupitia hawa watu wa supermarket kama hamuambiwi network mbovu tu chart na nyie mnapawaga eti? Jamaani mnaibiwaaaa nisaidieni kusambaza huu ujumbe, haipiti siku sipati malalamiko watu wana ibiwa hii imezidi mno! Watu wanatoa mitaji yao, ada zao sababu ya hawa watu! Sikatai mko katika kujitafuta lakini angalau ulizaa mara mbili mara tatu! Au njoo kwa page yangu angalia nishwahi sema nina supermarket?? Poleni wote mliopatwa na hawa watu siku yao yaja!


Mh @napennauye naomba nisaidie baba naomba niwe nfano kwa hawa wanao tumia jina langu kuumiza watu niko tayar kutoa ushirikiano 100%

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad